X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,719
- 14,847
π π π πBasi usimalize kusoma basi usimalize kusoma
Ujue ukisoma moyo wangu unauchoma
SIJASAFIRI NDUGU YANGUMkuu bado hujasafiri kwenda mashariki ya Kati??
Mkuu vip ulifanikiwa kulipwa??Hata Mimi nimeandika barua kuomba kulipwa michango yangu baada ya kukaa miezi zaidi ya 18 tangu kulipwa FAO la kukosa ajira. Mpaka sasa bilabila
Atusaidie tufahamu maana Mimi mwenyewe nimeandika barua ya kuhamisha michango yangu kwenda kwenye mfumo wa uchangiaji wa hiari. Je nitafahamu vipi kuwa michango yangu imeshahamishwa maana ni mwezi Sasa sijapigiwa simu yeyote na PSSSFMkuu vip ulifanikiwa kulipwa??
Uliandika barua mkoa gani mkuu? Mimi mwezi wa tatu niliandika barua ya kuomba kuhamisha malipo kwenda kweny uchangiaji wa Hiari haikupita week 2 nikapigiwa simu na kutumiwa sms nikajaze fomu za withdrawal benefits supplementary.Atusaidie tufahamu maana Mimi mwenyewe nimeandika barua ya kuhamisha michango yangu kwenda kwenye mfumo wa uchangiaji wa hiari. Je nitafahamu vipi kuwa michango yangu imeshahamishwa maana ni mwezi Sasa sijapigiwa simu yeyote na PSSSF
πππππBasi usimalize kusoma basi usimalize kusoma
Ujue ukisoma moyo wangu unauchoma
Mkoa wa Geita mkuu!Uliandika barua mkoa gani mkuu? Mimi mwezi wa tatu niliandika barua ya kuomba kuhamisha malipo kwenda kweny uchangiaji wa Hiari haikupita week 2 nikapigiwa simu na kutumiwa sms nikajaze fomu za withdrawal benefits supplementary.
Fomu nilijaza tarehe 22 mwezi wa 3 ila Juzi nimepokea muamala kwahiyo ndani ya miezi miwili jamaa wanaeza maliza kama documents zako zimenyooka.
Mimi nilijaza Toka mwezi wa 5kimya!Uliandika barua mkoa gani mkuu? Mimi mwezi wa tatu niliandika barua ya kuomba kuhamisha malipo kwenda kweny uchangiaji wa Hiari haikupita week 2 nikapigiwa simu na kutumiwa sms nikajaze fomu za withdrawal benefits supplementary.
Fomu nilijaza tarehe 22 mwezi wa 3 ila Juzi nimepokea muamala kwahiyo ndani ya miezi miwili jamaa wanaeza maliza kama documents zako zimenyooka.
Vip mkuuUliandika barua mkoa gani mkuu? Mimi mwezi wa tatu niliandika barua ya kuomba kuhamisha malipo kwenda kweny uchangiaji wa Hiari haikupita week 2 nikapigiwa simu na kutumiwa sms nikajaze fomu za withdrawal benefits supplementary.
Fomu nilijaza tarehe 22 mwezi wa 3 ila Juzi nimepokea muamala kwahiyo ndani ya miezi miwili jamaa wanaeza maliza kama documents zako zimenyooka.
Mfumo ckuhiz wa online kuna sehemu ya mwajiri ku verify ndio hatua nyingne ziendelee.Vip mkuu
Hizo document ulizojaza kuna sehemu ya mwajiri tena kuthibitisha? Naomba msaada mkuu