Kwanza, kabisa kwake Mungu ndiko kwenye uweza wa mambo na mafanikio kwa ujumla.
Pili, ufunguo wa mafanikio ni marudioTofauti ya mara kwa mara juu ya jambo unalotaka ufanikiwe kwalo, huku ndiko kule kijibidiisha ambako huleta mibaraka.
View attachment 2447278
Siku moja chagua jambo lako moja unaloona haliendi au halikupi matokeo unayoyatarajia na jaribu kulifanya tofauti na unavyolifanya siku zote, hii wengi huita plan B.