Sijafanikiwa kusikiliza mipango toka kwa Mheshimiwa RC ihusuyo mkoa wa Dar na hasa Kigamboni, naomba aliesikiliza atoe update ya mipango specifically wilaya hiyo maana ndio kama bado iko nyuma ukilinganisha na wilaya zingine za Dar,
Hivi ile New City of Kigamboni iliishiaga wapi?mana miaka saba nyuma huko kulikuwa na ramani inayoonyesha jiji jipya la kigamboni ila sasa naona vululuvululu la buguruni,kiwalani,tandale nk linaendelea kama kawaida