Maendeleo: Bado hatujachelewa katika ukweli

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania!

Pole kwa uchovu wa majukumu na mihangaiko ya hapa na pale katika kutimiza majukumu yako.

Naomba nitoe ushauri kwa SERIKALI hii.

1. Ufugaji wa kuku wa kisasa Mkoa wa SINGIDA

Napenda kushauri mkoa wa Singida uwe HUB ya Ufugaji wa KUKU wa kisasa na kienyeji.

Kwakua mkoa huu unasifika na umeshakuwa na uzoefu kwa njia za asili, napendekeza sasa pawekwe mkazo katika mkoa huu kimkakati uwe mkoa maalumu katika Ufugaji na Ukulima wa KUKU hususani wa Kisasa na Kienyeji. Patengwe maeneo ya kutosha kwa ajili ya huu mradi tutafanikiwa pakubwa.


2. Kilimo cha SAMAKI na Mazao ya samaki mkoa wa Mwanza.

Kutokana na uwepo wa asili wa kuzungukwa na ziwa na uwepo wa maeneo mengi yaliyo na vyanzo vya maji, napenda kutoa ushauri mkoa huu nao utazamwe kwa jicho hilo la Ufugaji samaki kisasa na tuachane na Ufugaji na uvuvi wa kizamani kama ulipo sasa.


Karibu!

Itaendelea...
 
Wewe kiongozi ulishawahi kufuga hata kifaranga tu cha broiler unajua gharama zake?

Huu ni utafiti au ni corridor news tu kiongozi wangu?

Ili ufuge kuku wa kisasa kwanza mfugaji asije na njaa.

Anzia hapo utanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…