Ushauri mzuri, ila kumbuka malumbano yanaletwa na walioshika madaraka,kama mdau unaweza kumwandikia ushauri wako kwenye mail yake au kwa maandishi na kupost kwenye ofisi ya jimbo nadhana utamfikia na kufanyiwa kazi,hapa jamvini tegemea mixed approaches ambazo wanazotoa hata Arusha pengine hawajui kuna kero gani.