Mkuu sana kwa hayo yaliyokukuta, nafikiri kosa ni kuwaita kwenye ingterview, ila hao jamaa mfumo wao ni huo huo hawaajiri kwa transcript hivyo hiyo huwa inawaangusha sana wahitimu wa UDSM, ni tangu zamani kwa ajira za serikali kuu zinazokuwa coordinated na utumishi..niliwahi kukosa kazi hivihivi mwaka 2005. Ila ukisoma vizuri matangazo yao pia hiyo condition wame bold