Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Sep 18, 2012 #1 Msaada jamani, nimeamka asbh na koo linauma na ninamadonda; nipate dawa gani?
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Sep 18, 2012 #2 kunywa maji baridiiiiiiii yenye barafu! then tafuta juice nzito ya ukwaju. alafu utashuhudia balaa lake
kunywa maji baridiiiiiiii yenye barafu! then tafuta juice nzito ya ukwaju. alafu utashuhudia balaa lake
Mnyampaa Ebrahim Member Joined Aug 3, 2012 Posts 20 Reaction score 3 Sep 19, 2012 #3 obama wa bongo said: kunywa maji baridiiiiiiii yenye barafu! then tafuta juice nzito ya ukwaju. alafu utashuhudia balaa lake Click to expand... Obama hapo unatibu au ndio unaua kabisaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
obama wa bongo said: kunywa maji baridiiiiiiii yenye barafu! then tafuta juice nzito ya ukwaju. alafu utashuhudia balaa lake Click to expand... Obama hapo unatibu au ndio unaua kabisaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Sep 19, 2012 #4 Kaunga said: Msaada jamani, nimeamka asbh na koo linauma na ninamadonda; nipate dawa gani? Click to expand... aiss Kaunga,dawa nzuri ninayoifahamu mimi ni pole sana!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaunga said: Msaada jamani, nimeamka asbh na koo linauma na ninamadonda; nipate dawa gani? Click to expand... aiss Kaunga,dawa nzuri ninayoifahamu mimi ni pole sana!!
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Sep 19, 2012 Thread starter #5 Thanks, nimepata amoxycillin, celastamine na Asprin na ninaendelea vyema.
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Sep 19, 2012 #6 Kaunga said: Thanks, nimepata amoxycillin, celastamine na Asprin na ninaendelea vyema. Click to expand... Pole sana.
Kaunga said: Thanks, nimepata amoxycillin, celastamine na Asprin na ninaendelea vyema. Click to expand... Pole sana.
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Sep 19, 2012 Thread starter #7 Evarm said: Pole sana. Click to expand... Thanks dearest; l am much much better!
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,881 Sep 20, 2012 #8 Kaunga said: Msaada jamani, nimeamka asbh na koo linauma na ninamadonda; nipate dawa gani? Click to expand... pole sana. pumzika kwa kupunguza ushiriki wako jf
Kaunga said: Msaada jamani, nimeamka asbh na koo linauma na ninamadonda; nipate dawa gani? Click to expand... pole sana. pumzika kwa kupunguza ushiriki wako jf