Madiwani Kiteto walia na Serikali

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Madiwani wa halm ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, wamekosoa utaratibu wa Serikali kutoa wa Fedha za miradi kwenye halm.

Akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani Kiteto, Lairumbe Mollel amesema miradi mingi ya maendeleo hasa maji na hata ya ujenzi imekwama kutokana na utaratibu huo wa Serikali

Waheshimiwa madiwani utaratibu wa Serikali wa kureizi cheti ndio mradi kwa mzabuni kuendelea hili halitatufikisha mahali

Hili tumeliona kama wenyeviti wa halm na sasa Mimi na wezangu tumekubaliana kuwasilisha kwenye vikao vya ALAT.

Wilaya ya Kiteto ina uwezo wa kuhudumia wananchi wake maji kwa 37% hivyo jitihada za kutatua tatizo hili zinaendelezwa na wadau mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…