Wengi wanachrge kwa square meter, pia inategemea ni aluminium ya wapi, na aina ya kioo. Roughly around 90,000 mpaka 120,000 kwa m2. Piga 0713 246688 - Aziz atakusaidia.

120,000/-tshs per sqm !
kama madirisha zipo juu ya 14, bei inaweza ku punguwa.
Kazi utawapa kampuni inayo uhakika, manake mitaani mafundi wapo kibao, lakini wezi tupu .

nimenunua june 2013. 5''*5'' tsh.250,000. 5''*6'' tsh.300,000. sijui kama nilipigwa au niliwapiga ila nilinua 11 windows tkw bei hizo. n.b; bei hizo ni kwamba wanakuja kukufungia kabisa kwa mjengo wako.
BEI YA ALUMINIUM IFUTAVYO- 5ft x 5ft - 247,500/-
6ft x 6ft - 356,500/-
* FREE installation within DAR.
* Kio ayna yoyote 5mm.
(Hiyo bei ni mpaka March 2014)