Madini ya Mercury yanauzwa

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,496
Mercury nyeupe inapatika , kilo moja ni Tsh 500,000. Nipo Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi tuonane inbox.
 
inatumika je hapa tz kutengenezea nini

Kwa kiasi kikubwa hutumiwa na wachimba madini ya dhahabu kwenye mchakato wa kutenganisha thahabu na kifusi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…