Madini 10 ghli zaidi duniani

Daata

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,766
Reaction score
2,076
Wakuu heshima kwenu.
Napenda kufahamishwa ni madini yapi 10 ghali zaidi duniani na ikiwezekana sababu za ughali wake.
Shukrani zimetangulizwa.
 
Ukiona hivyo unaendelea kupekua zaidi na haziwezi kufanana kamwe.
Nilianzia huko lakini kuna website mbili zimenichangaanya maana moja inasema kinyume cha mwenzake.
 
Nafikiri madini ghali ni mwanamke maana kila unapozidi kufanikiwa na yeye anataka zaidi mara gold, diamond, tanzanite mara blue diamond na anazidi kupanda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…