Madhara ya vidonge vya PEP

Hebu tuwekee kisa hapa mkuu, ilikuwaje mpk ukafikia hatua ya kumeza, na vipi umeshapima HIV hivi karibuni kutazama km dawa hizo zilikusaidiaje?
 
Mkuu shukran cjui kama ana VVU, ila nmeamua nitumie kwa vile nlikuwa na waswas naye
 
Mkuu hata sikunyonya wala hata sikuchubuka coz uke ulikuwa na majimaji ya kutosha, pia kuhusu kupima, pia kuhusu kupima Doctor niliyemkuta alisema kwa vipimo vingi vinavyotumika hapa bongo ni vya mwezi mmoja baada ya kuwa kwenye risk ndoo vinasoma kama upo infected au la,

NB.... saiz dozi nshaizoea nimemaliza week1
 
Mkuu tupe mkasa wako,, na vipi urirud kupima ini
 
Kuanza kuota ndoto za kufa kufa...ukiendelea wiki tatu utakutana na Ruge kwny ndoto
 
Mkuu pole sana lakini muogope Muumba wako fanya uoe kabisa mkuu

Hii ya kula kula njiani ina cost sana
 
ndoto mbaya,kukosa usingizi, kizunguzungu, kichefuchefu na mood mbaya kwa ujumla duuuh nilikua nikiviona nadata
Ok ,,, mwenyew saiz hizi dalili ndoo nazokutana nazo japo nshaanza kuzizoea
 
Vip kk, mm nimgeni humu jamii frm..
Nimeikuta hii mada leo. Samahani nataka kujua ,je umezitumia hizodawa vile ipasavyo?? na je baada ya kumalizadozi ulijicheki tena na ukawa huna maambukizi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…