Majuz nmetembea na demu wangu ambaye nna muda cjakutana naye, sasa wakat wa kusex kwa bahat mbaya kondom ikapasuka nkamwambia tukapime akasema anawahi anasafiri nkamshawishi akakataa kabisa akasema anawahi kwenda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja iv akasema kwa vile kakataa kuja kupima inabidi tukuanzishie PEP ili kama kuna maambukizi yoyote yasikupate,, nkasema ok wakanipima kwanza kama nina maambukizi nkawa nipo frsh, then nkapewa dawa hizo za PEP sema nlisahau kuuliza madhara yake. Naomben kujua madhara ya PEP coz majuz nmepewa sasa naona kama mwili unachange
Asante sana mkuu ubarikiweMadhara yake yapo ya kawaida kujisikia kichefuchefu kuharisha kuchoka sana ukiona ishu tofauti na hapo lazima uwasiliane na daktari wako haraka maana zile dawa kama una shida kwenye figo na ini zinaweza leta effects tofauti tofauti
Shukran mkuuTumia tenofovir/lamivudine/ dolutegravir (TLD)
Sikuzichukua mkuuKwan no za dr umepoteza??
Poapoa mkuu wacha tuwasubrMkuu ngoja wajuzi watakuja
Sikuzichukua mkuu
Ofisin kwake hosptalinMara ya kwanza uliwasiliana nae vipi?
Ulituma barua posta kuwasiliana naye? au email??enda Moro,, sasa mm nkawa na mashaka naye ikabidi niwasiliana na Dr kwenye hosp moja
Ofisin kwake mkuu ana kwa anaUlituma barua posta kuwasiliana naye? au email??