Karate ndio zinakataza kufanya mapenzi? Mbona bruce Lee alikuwa na mke
Ckujua wanaume wanaweza kuacha ku do mda mrefu ivyo! I thnk haina madhara yoyote physicaly ila psychologicaly as mwanamke aliumbwa kwa mwanaume na hawezi kuwa replaced na dojo, lazma smtimes unajickia empty na hata ufanyeje mazoezi ila bdo gap inakuwepo tu. Km uko poa unaweza ukajiolea wa kwako ukamweleza na mashart ya hayo mazoezi yako. I was thnking km uko na athlete body then huna hata wa kukukanda kanda ucku inakuwaje? Meeen hata great kali ako na dem wake...! Jipatie wako, wowa...usifanye ovyo ovyo...ok?
Karate ndio zinakataza kufanya mapenzi? Mbona bruce Lee alikuwa na mke
hayo madini unayetemaje bila mtu wa kuyachimba? Au mwenzetu unatumia bluetooth kutemesha madini?
Teh teh teh!
Unanıkumbusha kısa cha Mwl Masala! MwL wangu wa Englısh std vı wakatı huo enzı za 90th alıpewa darasa baada ya kumalıza formıv.
Alıkuwa mwl mzurı sana wa Englısh na Maths akafanıkıwa kumchukua bıntı mmoja(Ester) bası akaendanae huko vıchakanı kumchapa!
Tıcha ıle kuona upaja wa bıntı tu!, alıenda mbılı hewanı fasta! Alıvyoanza kumshambulıa yule bıntı hakuweza kuamka tena ıkabıdı apelekwe hosptal kupıgwa bomba! Huwezı amını bomba6 za sındano zılızojaa speam nyeusı tııı mıthılı ya utando wa jıkonı!
Bıbıe alızıma zaıdı ya masaa6!
Baada ya kubanwa sana tıcha sı ıkabıdı aanıke ukwel hadharanı bwana! Etı sıku hıyo ndo alıkuwa avunja bıkra ya kıume tangu aonekane dunıanı zaıdı ya mıaka24!??
Duu yule bıntı alıjuta kukutana na mıdume tena na sıjuı kama alıolewa!
Mzee ogopa kustore manıı sıku yakıflow nı zaıdı ya bomu la nyukılıa! Utaua mtu sıku ukıkutana na mwanamke!
Cha msıngı fanya hıvı,
Kabla hujalala mfıkrıe msıchana yoyotr ulıekutana nae mchana akakuvutıa, ukıımagıne as ıf umemlala, baası usıku huo lazıma uchafue shuka ndotonı!
Mkuu nikupe ukweli kuhusu mimi mwenyewe, mimi hadi namaliza university nilikuwa na miaka karibia 30 na tangia utoto wangu nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi na nilikuwa nawoga kama wa kwako, ila kupitia ndoto nilikuwa naejakulate(uncontrolled phenomenon), miaka michache baadae nilioa na sasa nainjoy vizuri sana na mke wangu, kwa wanaofikiri haiwezekani inawezekana na huu ni ukweli kunihusu mimi mwenyewe. Hii inasaidia sana mkuu mwili hauchakai kibailogia na wala hutopoteza chochote tofauti nakuepuka mabaya mengi. Endelea hivyo hivyo hadi utakapooa mkuu,. Good luck.
ni nyege 2, na ukiamka asbh lazma uoge km n men coz c unajua tena! utapitia mademu wote unaowa-feel via drimz bila wao kujua!