Madereva Watanzania 51 wakutwa na maambukizi mpakani mwa Kenya na Tanzania. Visa vya Coronavirus Kenya vyafikia 912

Ndio alikufa na majuzi alionekana akicheza mpira,uzuri si unajua tena bongo tuna ma ventilators ya kutosha kila dispensary/hospital na health system yetu ni bora kuliko ya UK.

UK haina chochote ndio maana mpaka PM akala kabali.
 
UK haina chochote ndio maana mpaka PM akala kabali.
Nakubali boss na ndio maana hata Nyerere alipoumwa alitibiwa na kufariki ktk hosp. Ya hapa hapa bongo na nadhani ilikua ni pale Muhimbili.
 
Achana na manamba mkuu angalia watu wanaokufa kwa corona hapo mtaani kwenu au unawafahamu ni wangapi utakuta hakuna rais jana kasema namba ya wagonjwa imepungua na takwimu katoa ila hutaki kuamini shida unategemea tufe milioni ndio ufurai
That's just his story no one can prove it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…