Mwanangu, mi natamani sana, ila utakuta vigezo kibao, mi mwenyewe four felia... Leseni ninayo kubwa tu na cheti chake.. Ishu watakua na vigezo vingine ambavyo sina.. Hususan elimu asee apo itakua noma
Daaaaah, ungekuwa na cha four na cha ufundi usingetaabika kihivyo mkuu. Fanya mchakato wa kupata hivyo vitu hata kama utatumia miaka mitatu au minne ila matunda yake utayaona mkuu.
Daaaaah, ungekuwa na cha four na cha ufundi usingetaabika kihivyo mkuu. Fanya mchakato wa kupata hivyo vitu hata kama utatumia miaka mitatu au minne ila matunda yake utayaona mkuu.
Hahahahaha, sasa hapa nilipo sina kazi nataabika hivi.. Afu tena nianze kutafuta vyeti, si nitarudi kijijini... Mana njia zote za kupata vyeti, lazima usome kaka... Sasa inakuwaje apo.... Nyie nichekieni hata pikapu nipate riziki