Madereva Wanaharibu Barabara Mpya

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,965
Reaction score
9,463
Madereva wengi wanaopita Morogoro road wameanza kupita barabara za pembeni za wapita njia hasa kuanzia TipTop na kulekea Ubungo katika kukwepa foleni kiasi cha kupelekea kubomoka kwa sehemu zilizokamilika tayari kutokana na uzito wa magari. Wahusika wanapaswa kuchukua hatua bila hivyo hali itakuwa mbaya zaidi na kuongeza gharama za ujenzi hasa kipindi hiki cha mvua!
 
.. na barabara hiyo bado haijakabidhiwa maana yake mkandarasi atakapofanya marekebusho atadai gharama nyingine tena inaweza kuwa mara kadhaa ya gharama alitoa wakati akipewa mkataba.

Inawezekana moshi wa magari ama harufu ya diseli huwa ina kilevi ndio maana baadhi ya madereva vichwa vyao iko namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…