kwanza kusoma ramani hawa jui.uki request hana kupigia kujua hupo wapi wakati location ina onyesha.nipo nchi za nje.ukiomba uber tu au kampuni nyengine mpaka pale ulipo ndipo anakupigia hapo kuhakiki.Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
Hili lako kidogo lina ukakasi, maana nimefanya hii biashara kidogo nimeona changamoto zake. Kwa kifupi, network na poor digitalization ya mji ni changamoto. Kwa wewe abiria kwa kuwa upo static, unaona movement ya gari kiurahisi tangu inapoanza safari hadi kukufikia, lakin kwa dereva anapata changamoto ya mtandao maana ramani inachelewa ku-update kiasi mara kadhaa utajikuta umeipita kona uliotakiwa kukata.kwanza kusoma ramani hawa jui.uki request hana kupigia kujua hupo wapi wakati location ina onyesha.nipo nchi za nje.ukiomba uber tu au kampuni nyengine mpaka pale ulipo ndipo anakupigia hapo kuhakiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanaudhi sana barabarani mwendo wa kinyonga halaf kila kwny zebra wanasimama hata kama hamna mvukaji.
Ndo zao hizo. Kwa vile safari inalipwa kwa muda wanaotumia, basi spidi yao ni polepole sana. Tuwaombe malipo yafanyike kwa umbali wa safari husika. Ingawa hapo,na hasa kwa wageni, utazungushwa mjini ili safari ionekane ni umbali mrefu.Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
Yeah true aisee ukiwa masaki haikosei hata kidogo,sasa mtu yupo tandika huko inakuwa tabu kidogoHili lako kidogo lina ukakasi, maana nimefanya hii biashara kidogo nimeona changamoto zake. Kwa kifupi, network na poor digitalization ya mji ni changamoto. Kwa wewe abiria kwa kuwa upo static, unaona movement ya gari kiurahisi tangu inapoanza safari hadi kukufikia, lakin kwa dereva anapata changamoto ya mtandao maana ramani inachelewa ku-update kiasi mara kadhaa utajikuta umeipita kona uliotakiwa kukata.
Ni rahisi zaidi kunavigate maeneo yaliyopangwa vyema na kuwa na majina ya mitaa na barabara kama Masaki kuliko kunavigate eneo kama Tabata au Msewe.
Kuhusu hili la kuendesha pole pole hawa jamaa ni kero kwa kweli.
Yani ki Buku 3 chako ndo unataka ukimbizwe si mpande tax zenye mstari zile
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba niende moja kwa moja kwenye kero za madereva wa UBER, labda ni pekeyangu niliyoona hili kwa Hawa madereva, lakini nimeshuhudia Mara nyingi Sana kila siku, yaani wakikutangulia mbele wanatembea speed ya 10km/h, utakuta watu asubuhi wanawahi kazini traffic anaita magari kwa uharaka wao hilo hawajali. Mnaudhi Sana mnaendesha utadhani mnajifunza? Kuendesha mwendo wa kinyonga barabarani bila sababu ni kuwakosea watumiaji wengine.
Ukikodi Uber ikiwahishe sehemu afadhali uchukue Bajaj tu hawa Uber achana nao wachukue km hunaharaka vinginevyo unaweza mzaba vibao Dereva. Kunasiku nimeoanda Uber niwahi gongo la mboto, yule Dereva akaanza kulifuata nyuma Lori la taka ili njia ya airport wakati ni two way trafic.
Msipobadirika mtajikuta mnapaki vigari vyenu watu wanaamua kuchukua Bajaj tu au bodaboda. Mnakera Sana!
UNATAKA UASHIWE AC WAKATI KWAKO ATA FENI HUNA