Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,319 Reaction score 7,655 Aug 21, 2017 #1 madereva wa daladala wamegoma kuondoa gari kituoni baada ya kupandishiwa tozo ya kutoa gari kutoka 500 mpaka 1000,
madereva wa daladala wamegoma kuondoa gari kituoni baada ya kupandishiwa tozo ya kutoa gari kutoka 500 mpaka 1000,
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,728 Reaction score 11,107 Aug 21, 2017 #2 Police CCM nendeni mkawapige hao
Kps chad JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 539 Reaction score 820 Aug 21, 2017 #3 Wapi hapo mkuu tujue mapema tuahirishe safari Sent using Jamii Forums mobile app
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,319 Reaction score 7,655 Aug 21, 2017 Thread starter #4 sergio 5 said: Police CCM nendeni mkawapige hao Click to expand... mia tano kubwa mkuu, halafu watu wanapandisha kinyemela ukiwapiga unazidi kuharibu
sergio 5 said: Police CCM nendeni mkawapige hao Click to expand... mia tano kubwa mkuu, halafu watu wanapandisha kinyemela ukiwapiga unazidi kuharibu
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,319 Reaction score 7,655 Aug 21, 2017 Thread starter #5 Kps chad said: Wapi hapo mkuu tujue mapema tuahirishe safari Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... SIMU 2000 mkuu, naona baadhi yamagari yanageukia njiani hawaingii stendi maana magari yamejaa stendi mpaka barabara ya stendi haipitiki imejaa
Kps chad said: Wapi hapo mkuu tujue mapema tuahirishe safari Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... SIMU 2000 mkuu, naona baadhi yamagari yanageukia njiani hawaingii stendi maana magari yamejaa stendi mpaka barabara ya stendi haipitiki imejaa
Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 476 Aug 21, 2017 #6 Pesa ya kukombaoa bombardier imeshaanza kusanywa kwa nguvu bila hata kushirikisha wadau
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,765 Aug 21, 2017 #7 Kwa nini wanaigomea sh. 1000? Je kituo hakikarabatiwi? Je hawajapewa sababu za msingi za kupandisha hiyo tozo? Je hawakutaarifiwa mapema?
Kwa nini wanaigomea sh. 1000? Je kituo hakikarabatiwi? Je hawajapewa sababu za msingi za kupandisha hiyo tozo? Je hawakutaarifiwa mapema?
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,319 Reaction score 7,655 Aug 21, 2017 Thread starter #8 Maboso said: Kwa nini wanaigomea sh. 1000? Je kituo hakikarabatiwi? Je hawajapewa sababu za msingi za kupandisha hiyo tozo? Je hawakutaarifiwa mapema? Click to expand... hakuna kilichobadilika hapo kituoni zaidi ya tozo
Maboso said: Kwa nini wanaigomea sh. 1000? Je kituo hakikarabatiwi? Je hawajapewa sababu za msingi za kupandisha hiyo tozo? Je hawakutaarifiwa mapema? Click to expand... hakuna kilichobadilika hapo kituoni zaidi ya tozo
Allan mapesa Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 124 Reaction score 89 Aug 21, 2017 #9 Maguful anapndisha ili afidiee deni la bombadier Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Kps chad JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 539 Reaction score 820 Aug 21, 2017 #10 Jaby'z said: SIMU 2000 mkuu, naona baadhi yamagari yanageukia njiani hawaingii stendi maana magari yamejaa stendi mpaka barabara ya stendi haipitiki imejaa Click to expand... Duuu na folen ya hapo kwenye mataa ukijumlisha na hiyo tena si balaa kbs Sent using Jamii Forums mobile app
Jaby'z said: SIMU 2000 mkuu, naona baadhi yamagari yanageukia njiani hawaingii stendi maana magari yamejaa stendi mpaka barabara ya stendi haipitiki imejaa Click to expand... Duuu na folen ya hapo kwenye mataa ukijumlisha na hiyo tena si balaa kbs Sent using Jamii Forums mobile app
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,319 Reaction score 7,655 Aug 21, 2017 Thread starter #11 Kps chad said: Duuu na folen ya hapo kwenye mataa ukijumlisha na hiyo tena si balaa kbs Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... sio kubwa sana
Kps chad said: Duuu na folen ya hapo kwenye mataa ukijumlisha na hiyo tena si balaa kbs Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... sio kubwa sana