M mjukuu2009 Member Joined Jul 6, 2009 Posts 89 Reaction score 4 Aug 17, 2012 #1 Tabia ya Madereva Daladala kusoma magazeti wakiwa wanaendesha magari ya abiria imekisiri kiasi cha kutishia usalama wetu watumiaji wa Daladala,naomba vyombo usika vichukue atua hii tabia pamoja na ile ya kuendesha gari uku akiongea nasimu.
Tabia ya Madereva Daladala kusoma magazeti wakiwa wanaendesha magari ya abiria imekisiri kiasi cha kutishia usalama wetu watumiaji wa Daladala,naomba vyombo usika vichukue atua hii tabia pamoja na ile ya kuendesha gari uku akiongea nasimu.