Hivi unadhani kuwa wataacha hao? Hiyo ndio tabia yao na tabia haina dawa. na wewe huwa unafanya nini karibu nao mpaka uwasikie? Concentrate kwenye kazi zako banaKwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.
M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.
M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).
Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.
Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!
Hivi unadhani kuwa wataacha hao? Hiyo ndio tabia yao na tabia haina dawa. na wewe huwa unafanya nini karibu nao mpaka uwasikie? Concentrate kwenye kazi zako bana
Yaani anye kuku tu akinya bata kahara. Kuna thread aliianzisha Globu kuhusu bidhaa za Azam. Ikaingiliana na neno Koni. Hatimaye thread ikafungwa na akala na BAN. Hii JF inaonyesha ina upendeleo kiasi fulani kwa baadhi ya members. Mmmm yangu macho.
Una uhakika mkuu na unaloongea. Isije akawa ameporomosha mitusi, usije ukalinganisha na hii. Hata hivyo huyo jamaa amekutuma umwwakilishe humu badala yake? Mbona wanitafutia ban kirejareja hivi mkuu. Isije ikawa huyo Globu ndo wewe mkuu!
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.
M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.
M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).
Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.
Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!
Mie nimemshtukia .................. jamaa ni kozimeni nini !?Kila cku unawackia wewe tu?
Hapa Umesema kweli tupu......Nanukuu biblia yamtokayo mtu ndo yaujaza moyo wake.