Mademu wa ofisini kwetu hamnazo: Hebu soma hii!

hao wanawake wastaarabu sana, yaani umewaingilia mazungumzo yao na kuwapiga mkwara mbuzi wamekuangalia tu?
Hata mimi nashangaa afu isitoshe wamemuomba na samahani, wanawake wenyewe wasomi tena wanafanya kazi!
 
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.

M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.

M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).

Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.

Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!

Tehe tehe tehe Mkuu sio ungesogelea karibu upate VIBUDU VYA BURE???

tehe tehe tehe:thinking:
 
kiukweli hapa umewanyanyasa tu hawa wanawake, mbona hukwenda kumziba mdomo Dr. Ndodi wakati yeye anaongea live kwenye TV inayotazamwa na mamia ya watu, wakubwa kwa wadogo?
 
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.

M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.

M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).

Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.

Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!

Loh hiyo Kali! bt angalia wasije kukugeuzia kibao wakakusuta
 
Back
Top Bottom