Madaraka ni kama umande hukauka

Endelea kujaza picha zake kwenye gallery yako ila usijaribu kuingia mtaani kufanya unyumbu wa maandamano uchwara ya kihalifu mtakula kichapo hadi mama zenu waje wagaregare mbele ya camera kuwaombea msamaha
 
1-Hamuwezi kututoa kwa vijikaratasi/Kura.
2-Katiba ni kijitabu tu cha nyimbo za pambio.
3-Kifo ni kifo.Ukifa haupigi nywinywinywi wala nywiinywiiinywii.
4-Kwanza ninyi makenge tu.
5-Kama mnaleta ubishi wenu,muhamie Venezuela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…