Hujaujua upinzani wa bongo? Maslahi binafsi na yasiyo endelevu ndo kipaumbele. Kwa sasa focus ni namna gani tunarudi bungeni basi.Nina uhakika Mheshimiwa ambae hata yeye husema kwamba katiba mpya hakuinadi katika kampeni zake mpaka anamaliza uongozi wake 2025 hataleta katiba mpya kwa sababu hakuwahi kutoa ahadi ya katiba mpya
Wapinzani vipi? Mbona mmeniangusha!. Nakumbuka miaka ya nyuma kuna watu walitishia na kutishia kwamba hapatatosha kama JK hataleta katiba mpya
Achen yenu katba mpya muda bado tunahitaj maendeleo kwa hzo hela ya mchakato zaid ya zanat kumi,,tena mpaka,mwaka 2025
Alafu wakiitisha makongamano au mikutano kuhusu kudai katiba mpya mnawatisha na mabomu,virungu,bunduki n.kHujaujua upinzani wa bongo? Maslahi binafsi na yasiyo endelevu ndo kipaumbele. Kwa sasa focus ni namna gani tunarudi bungeni basi.
Kwahiyo mlikosea kuiweka kwenye Ilani ya CCM?Achen yenu katba mpya muda bado tunahitaj maendeleo kwa hzo hela ya mchakato zaid ya zanat kumi,,tena mpaka,mwaka 2025
Ni ujinga kuamini katiba mpya ni jukumu la wapinzani na si jukumu letu wananchi wote. Ujinga huu ndiyo unsyoifanya Tanzania idumae kwa kila kitu.Nina uhakika Mheshimiwa ambae hata yeye husema kwamba katiba mpya hakuinadi katika kampeni zake mpaka anamaliza uongozi wake 2025 hataleta katiba mpya kwa sababu hakuwahi kutoa ahadi ya katiba mpya
Wapinzani vipi? Mbona mmeniangusha!. Nakumbuka miaka ya nyuma kuna watu walitishia na kutishia kwamba hapatatosha kama JK hataleta katiba mpya
Nina uhakika Mheshimiwa ambae hata yeye husema kwamba katiba mpya hakuinadi katika kampeni zake mpaka anamaliza uongozi wake 2025 hataleta katiba mpya kwa sababu hakuwahi kutoa ahadi ya katiba mpya
Wapinzani vipi? Mbona mmeniangusha!. Nakumbuka miaka ya nyuma kuna watu walitishia na kutishia kwamba hapatatosha kama JK hataleta katiba mpya