Chaguzi nyingi za Afrika zinakuwa na hali ya sintofaham sababu ya ulaku wa madaraka na umangi,
Ni jambo la kusikitisha kuona uchaguzi unahairishwa mara tatu ili hali nchi iko katika mgogoro wa kisiasa,
Nchi nyingi za Afrika bado zina hatari ya mapinduzi kwa sababu ya viongozi walioko madarakani kutotekeleza wajibu wao.
Ili kuepuka hali hii kujirudia ni vema tuhakikishe tunafanya chaguzi huru na mshindi atakayepatikana ni halali sababu tume ya uchaguzi ni huru.