Madagascar oyee!

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,059
Reaction score
10,519
Wale tuliokuwa tunawaita Vibonde wamechukua medali ya FEDHA kwa kushika nafasi ya tatu.
Kama ninavyosema,wenzetu wanafanya mikakati ya muda mrefu sie tunafanya Porojo za muda mrefu kwenye soka.

Mie tangu miaka ya tisini najua Madagascar na Shelisheli wote vibonde,lakini surprisingly wamefanya yao.na kuonyesha uwezo mkubwa sana.Ghana na wenzio kula kichapo na leo kammaliza mwingine na kuchukua nafasi ya tatu.

Ugonjwa wa Soka la Tanzania tunaujua,ila tatizo tunajidanganya huku tukijua kabisaa kwamba tunajidanganya,huu ndio uzuri wetu.Na watanzania Mungu ametuaalia sana kusahau na kusamehe.
Leo tunaongelea soka kama suala au jambo jipyaaa kisa tumefungwa na waliokuwa vibonde.Je ni kweli kuna hoja ya msingi hapo?Yaani nikweli baada ya kufungwa na hizi timu ndio tumejua tatizo letu?Laaa,tusiwe wanafikia,lazima tukubali kwamba tunabahatisha na maisha ya soka letu ni la kujaribi,na ndio maana hadi timu ya Taifa eti mpaka leo tunaita Team ya majaribio.EBBBO
 
Malinzi kaenda kupiga kura kwa maslahi yake, au hujaelewa tu? Yeye hawezi kuchangua maimamu wa msikiti, teh teh! Bongo viroja haviishi.
 
Malinzi kaenda kupiga kura kwa maslahi yake, au hujaelewa tu? Yeye hawezi kuchangua maimamu wa msikiti, teh teh! Bongo viroja haviishi.

Kasema maimamu wala maparoko. Usipomalizia unajenga dhana fulani isiyokuwepo.
 
Tungekemaa kwanza magazeti ya dar es salaam kwanza kabla ya viongozi wa michezo husika nadhani michezo ingelisonga mbele!
 

nyinyi kazi yenu ni wizi na ubaguzi
 
Hii ndio inaonyesha udhaifu wa Ligi yetu ulivyo.
Sasa hivi Club zinashindana kukesha usiku kufanyiana fitna ya usajili.

Na ukizingatia kwamba miaka hii ndio Team hata ndogo zinapata pesa nyingi sana.Baada ya Bakhresa group of Company kutumia pesa nyingi kuipa kila timu.Sasa hakuna kisingizio tena.Lakini wapiga dili hapo ndio wanazidi kukwamisha soka letu.
Limebakia soka la Magazeti.Acha nibakie na Ligi yangu ya Ulaya.Maana hata Sudani wanaopigana vita na Burundi wapo juu.Sie nchi ya Amani zerrrrro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…