omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Mkuu una umri gani sasa iviHabar wanajf me naomba niwasilishe tatizo langu hua kuna tatizo la kuona kama ukungu linanitokeaga but linachukua wiki tatu mpaka mwezi , hua baada ya kuona ukungu kwa takriban dakika 10-15 macho yanakua sawa ila baada ya hapo naumwa kichwa mnoooo naomba mwenye kuhisi au kujua tatizo hili anisaidie kwa ushauri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuuMkuu kama unauwezo nenda kamuone daktari wa macho kwenye hospitali kubwa yoyote
Hamna mkuu labda kitu kinginePunyeto iliyozidi pia huleta tatizo kama hilo
Kama unafamya mchezo huo kila siku jaribu kuacha au upige kwa week mara 2 au 1
Pole sana ndugu
Pole sana mkuu.... Mm ilishawah nikuta tangu form 2 ilikuja kuisha yenyewe nilipohitimu form 6....kichwa chake sijawah ona maisha..... Nakushauri nenda hospital japo mm sikwendagaHabar wanajf me naomba niwasilishe tatizo langu hua kuna tatizo la kuona kama ukungu linanitokeaga but linachukua wiki tatu mpaka mwezi , hua baada ya kuona ukungu kwa takriban dakika 10-15 macho yanakua sawa ila baada ya hapo naumwa kichwa mnoooo naomba mwenye kuhisi au kujua tatizo hili anisaidie kwa ushauri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli umri wako ni huo basi hilo ni tatizo muonee daktari.
Mkuu umeniacha kidogo apo baada ya kusema "kama kweli ni umri huo" sorry lakin kwann umeulizia kuhusu umri mkuu wanguuKama kweli umri wako ni huo basi hilo ni tatizo muonee daktari.
Kuanzia 40years hizo ni kesi za kawaida.Mkuu umeniacha kidogo apo baada ya kusema "kama kweli ni umri huo" sorry lakin kwann umeulizia kuhusu umri mkuu wanguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dokta uchwara wewe. Hakuna uhusiano hapo!Punyeto iliyozidi pia huleta tatizo kama hilo
Kama unafamya mchezo huo kila siku jaribu kuacha au upige kwa week mara 2 au 1
Pole sana ndugu