Hii ni achine ya fanya miamala yamalipo ya vitu mbalimbali kama bili za maji awasco,LUKU,STAR TIMES,TRA,SMRT TFF,KUUZA VOCHA,MPESA Nakadhalika.
Biashara hii ninzrikwani inampa yule anayefanya kipato kupita kamisheni
UKIUZA:NA KAMISHENI ZAKE
AINA KAMISHENI
LUKU......2.5%
DAWASCO..3%
SMART VOUCHER....5%
TFF TICKECT...SH 200
Star times....2.5%
kiujumla kamishine inategemea na bidhaa unayouza na kadiri unavyofanya miamala mingi ndio kamisheni inavyokuwa kubwa.na hii unalipwa mwishoi wa mwezi
Kwa maelezo zaidi naweza tembelea ofisi zao zipo millennium tower makumbusho DSM
MACHINE WANAUZA SH 674,000/= Na unatakiwa uweke float y mtaji a kuanzia ili uweze kufanya kazi