B baba glory JF-Expert Member Joined Jan 22, 2016 Posts 292 Reaction score 213 Dec 24, 2017 #1 Habari wakuu. Nahitaji moja kati ya mashine hizo hapo juu, mie niko Dar Es Salaa. Kama unayo njoo PM ama weka namba yako nikupigie. Bei tutaongea
Habari wakuu. Nahitaji moja kati ya mashine hizo hapo juu, mie niko Dar Es Salaa. Kama unayo njoo PM ama weka namba yako nikupigie. Bei tutaongea
Nahirat JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 595 Reaction score 989 Dec 24, 2017 #2 Wana office zao posta Mkuu, Nivyema uende oficini mojakwamoja. Na tin plus leseni. Kama ni Arusha Uhuru road karibu na office za voda. Zamani ilikua 843000 kwa sasa cjui
Wana office zao posta Mkuu, Nivyema uende oficini mojakwamoja. Na tin plus leseni. Kama ni Arusha Uhuru road karibu na office za voda. Zamani ilikua 843000 kwa sasa cjui