Machale ''Sixth sense'' kwa wanawake.

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Wanawake wanamachale sana kuliko wanaume...... mara nyingi akikutuhumu umefanya kosa/kitu unakuta ni kweli asilimia 90.
Wengi tunaishiaga kuwagombeza kwa kuwabadilishia kibao lakini moyoni unajua yuko sahihi...tunaishiaga kumtafuta mchawi kwa kuhisi lazima kuna mtu kamwambia au anampelekea umbea. Na hata kwenye biashara au kazini mke wako akikushauri usifanye kitu au akitilia wasiwasi kitu unatakiwa umsikilize...huwa maranyingi wako sahihi, na baada ya jambo baya kutokea huwa watuambiaga ''si nilikuambia?'' Inatakiwa tuwe makini sana na kuwasikiliza bila kuwapuuza wanawake awe mama yako, mke ,dada, au hata rafiki.
Na ndio maana wazungu wanasemaga. ''behind any successful man there is a woman''
 
Mmmm...labda! Hivi kwenye mahusiano ya kimapenzi ni jinsia ipi inaongoza kwa "kulia"/"kulizwa"? Kama ni ya kike, ni kwa vipi hiyo 6th sense haiwasaidii kufanya maamuzi/choice kwa umakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…