Cobrahypnosis
JF-Expert Member
- Jul 28, 2021
- 362
- 678
Inafaa zaidi ya sanaIs MacBook Pro retina inch 15.5, ssd 512, core i7, processor 3.1ghz, ram 16gb still better in 2023 environment.
Ushauli wadau wa MacBook ya mwaka 2015. Kwa matumizi ya ofisi itafaa
How much?Inatosha kabisa.
Naibwaga
Ukitaka
Ipo MacBook Pro (13 inch 2019, Touchbar, Four Thunderbolt 3 ports)
Core i5, 8Gig, 512GB
Hardly used
1.95mHow much?
Kwa office itafaa sana mkuu, hata ya 2010 itafaa tu, hiyo i7 paired na 16gigs hata CAD unafanya mbona mkuu.
Inatosha kabisa.
Naibwaga
Ukitaka
Ipo MacBook Pro (13 inch 2019, Touchbar, Four Thunderbolt 3 ports)
Core i5, 8Gig, 512GB
Hardly used
Inafaa zaidi ya sana
Macbook ya 2015 ina maana ina dual core, haina issue ni sawa na hizi laptop za laki 4 mtaani ufanisi wake. Unless unaipata bei rahisi achana nayo.Is MacBook Pro retina inch 15.5, ssd 512, core i7, processor 3.1ghz, ram 16gb still better in 2023 environment.
Ushauli wadau wa MacBook ya mwaka 2015. Kwa matumizi ya ofisi itafaa
Macbook ya 2015 ina maana ina dual core, haina issue ni sawa na hizi laptop za laki 4 mtaani ufanisi wake. Unless unaipata bei rahisi achana nayo.
Angalau gen ya 8 kupanda utapata perfomance nzuri, 2018 kuendelea. Na kama budget inaruhusu zenye M series Cpu ni nzuri zaidi.
Ofisi za Ughaibuni zinabadili Computer on average kila baada ya miaka 3. Hivyo laptop za ofisini kama Thinkpad, Elitebook etc ndio hizo unaziona mtaani bei rahisi, zinakua ni mtumba/refurb.Alooo mbona bei zake ni kubwa sana madukani kuzidi hizi hp za 8generation na specifications kama hizo hizo za mac. Kwa bei za mitaani napo bado mac bei zake ni kubwa sana. Sasa hizo za mitaani ni zipi ufanisi wake uwe sana na mac?