wapi uliandika unataka za dili?mbona umekosa busara, wewe umeuliza mwenye nayo,mtu anaweza kuwa nayo au akaona mahali unaweza kupata,ningekuuzia ya kwangu lakini naona unataka ya dili basi subiri
Dah! Kazi ipo! Ni bora tu useme unataka ya "wizi", kwa maana kila mstaarabu anayetaka kukusaidia unamwambia afunge bakuli! Hapa JF sidhani kama utapata watu wa namna unayoitaka, bahati njema!