MacBook kwa bei chee,ram 8 GB,HDD 500 GB,processor 3.2 GHz

Mwisho kabiisa 950 hii ni mac ww
 
Ya mwaka gani?? Ni PM namba yako tuelewane
 
Like I said, new tech inapoingia sokoni old one is no longer in the interest of people. This therefore compels price decrease. No matter how good it looks. 1m is not the price for now. Mac book Air for that price i would be convinced
 
nimeshaipush tena kwa 1.5 M
 
nimeshaipush tena kwa 1.5 M

Mkuu mi naona umeiuza kwa bei ndogo. Kuna watu walishakaririshwa bidhaa za Apple ni ghali hivyo hata ungekuwa na laptop ya 1995 bado ungeiuza kwa bei ghali tu. Lakini kwa wanaozijua utasubiri sana kufanya biashara kwa bei hiyo.
 
Tatizo sio kukaririshwa mkuu,nahisi hata specification zake umeziona hapo juu mkuu.......hiyo dukani kabisa ni 2.2 million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…