Chrizo JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 714 Reaction score 792 Jun 29, 2014 #1 msaada wadau macbook yangu toka juzi inasumbua kuwaka. Lakini jana asubuhi nilipojaribu kuwasha ikawaka, leo hii asubuhi tena imekataa kuwaka naombeni msaada wenu wa kulitatua hili tatizo
msaada wadau macbook yangu toka juzi inasumbua kuwaka. Lakini jana asubuhi nilipojaribu kuwasha ikawaka, leo hii asubuhi tena imekataa kuwaka naombeni msaada wenu wa kulitatua hili tatizo