mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Yeye ndo alikuwa mchepukoTafuta mchepuko, kwan kuwa na mademu zaidi ya mmoja ni kosa kisheria?????
Tafuta mtoto mzuri, mwenye chura, macho mazuri gegeda... alafu huyu anaejiita bikra usimuache ila mpotezee tu
Mrs 900 wewe namba za nn mimi nataka zakoNamba zake nitazipataje
hahahahahahah huku ukiwa na hasira hutoboiYeye ndo alikuwa mchepuko
Hahahahahaha.......hahahahahahah huku ukiwa na hasira hutoboi
umenifurahisha mkuu
Nimecheka kwa nguvu ujueHahahahahaha.......
Hahahaha ....hatari hatari...Nimecheka kwa nguvu ujue
yaani mna vituko ambavyo kwa namna moja ama nyingine huniondolea stress
ndo tunazitaka huku, huchangamsha ubongoHahahaha ....hatari hatari...
Kweli aiseendo tunazitaka huku, huchangamsha ubongo
Usimwache mkuu wezako wanataftaga awapati ikiwezekana muoe kabsaKuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa haoni sababu ya kugegedwa kama tu mabusu na kupapaswa anarizika nimemwambia kila mtu afate mambo yake maana nimeshindwa kuvumilia.
Vipi hapo niko sawa au nimekosea.?
kisaikolojia hakuna mwanamke ambaye unaweza kumbusu na kumpapasa mwili wake siko zote hizo bila kumgegeda.tatizo liko kwako huna maujuzi ktk kumaliziaKuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa haoni sababu ya kugegedwa kama tu mabusu na kupapaswa anarizika nimemwambia kila mtu afate mambo yake maana nimeshindwa kuvumilia.
Vipi hapo niko sawa au nimekosea.?
Umekosea sana.Kuna mwanamke nimekuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi takribani miezi mitatu ila hataki kufanya mapenzi anadai yeye ni bikra na kuwa hayuko tayari kabisa kishiriki hilo tendo na anadai kuwa haoni sababu ya kugegedwa kama tu mabusu na kupapaswa anarizika nimemwambia kila mtu afate mambo yake maana nimeshindwa kuvumilia.
Vipi hapo niko sawa au nimekosea.?
Mzee huu ndio ukauzuu wenyewe sasa... mtafute mwenyekiti wa chama tawala akupe uanachama na ukatibu kabisa.Tafuta mchepuko, kwan kuwa na mademu zaidi ya mmoja ni kosa kisheria?????
Tafuta mtoto mzuri, mwenye chura, macho mazuri gegeda... alafu huyu anaejiita bikra usimuache ila mpotezee tu
Sory r u lessNamba zake nitazipataje
Mwenyewe nina waswasi nayoBikira feki