Mabula: Gharama za upimaji ardhi

chaggaa15

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
567
Reaction score
468
Kwa mujibu ya Naibu Waziri wa Ardhi katika swali kutoka kwa Waitara gharama za kupima ardhi ni shilingi laki tatu tu 300 000/= kwa hekta na kiwanja kimoja, hizi gharama sidhani kama zina uhalisia huku mtaani kwetu.
 
kwa mujibu ya naibu waziri wa Ardhi katika swali kutoka kwa waitara gharama za kupima ardhi ni shilingi laki tatu tu 300 000/= kwa hekta na kiwanja kimoja... hizi gharama sidhani kama zina uhalisia huku mtaani kwetu
Hizi ni gharama za nini specifically??
Manake utakujakuambiwa gharama za Townplanner, michoro, kuweka Beacon, design, etc unaorodheshewa tu.
Au hii gharama ni kwa vyote jumla??
 
Hizi ni gharama za nini specifically??
Manake utakujakuambiwa gharama za Townplanner, michoro, kuweka Beacon, design, etc unaorodheshewa tu.
Au hii gharama ni kwa vyote jumla??
Kwa mujibu wa naibu waziri hizi zinacover zoezi zima la upimaji.. na hii ni gharama elekezi baada ya kushushwa kutoka laki nane
 
Kwa mujibu wa naibu waziri hizi zinacover zoezi zima la upimaji.. na hii ni gharama elekezi baada ya kushushwa kutoka laki nane
Dah,
So kupima shamba hekta 30 x 300,000 ni Tshs 9million??
Bado kubwa aisee kwa mashamba
 
Kwa mujibu ya Naibu Waziri wa Ardhi katika swali kutoka kwa Waitara gharama za kupima ardhi ni shilingi laki tatu tu 300 000/= kwa hekta na kiwanja kimoja, hizi gharama sidhani kama zina uhalisia huku mtaani kwetu.


Jamani tunaomba mwenye utaratibu na gharama za Serikali za mitaa za kupima mashamba kuanzia eka moja na kuendelea atusaidie tafadhali
Kwa mujibu wa naibu waziri hizi zinacover zoezi zima la upimaji.. na hii ni gharama elekezi baada ya kushushwa kutoka laki nane

Jamani naomba mwenye kufahamu kuhusu upimaji wa mashamba kupitia Halmashauri za Serikali za mitaa na kupata hati za kimila bado upo????
 
Dah,
So kupima shamba hekta 30 x 300,000 ni Tshs 9million??
Bado kubwa aisee kwa mashamba
Hapana ipo hivi Kama unazipima zote kwa pamoja bila KUGAWA viplot plots GHARAMA Ni hy laki 3 ila ukitaka KUGAWA kwa vipolt kila plot itakugharimu laki3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…