MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 560
- 320
Kwahiyo??????????
Kwahiyo??????????
Huku uhayani hatuna wapuuzi kama wewe. Ungekufa wewe au ndugu yako ukatangaza msiba mtu akakuuliza utumbo uliouliza ungejisikiaje?
Bora ungesoma ukakaa kimya ....nakwambia kwa kihaya...OLIKIFELA.... oina olwango rogo olwo ukunnya omunyungu yebitoke!!!
mutabilwa abantu nkaiwe owaitu ntubanaga.Huku uhayani hatuna wapuuzi kama wewe. Ungekufa wewe au ndugu yako ukatangaza msiba mtu akakuuliza utumbo uliouliza ungejisikiaje?
Bora ungesoma ukakaa kimya ....nakwambia kwa kihaya...OLIKIFELA.... oina olwango rogo olwo ukunnya omunyungu yebitoke!!!
Kwahiyo??????????
Great Thinker huwa hawazi kizembe hivi. Hata kukaa kimya bila kucomment still in u GT
Ndugu wanajamvi,
Kuna bodaboda amekufa baada ya kugonga mti maeneo ya Masabo picnic centre ambao ulikatwa jana ukaangukia barabarani .
Mbuya mura. hahahahahahah. Mtani nimekukomesha
Kwahiyo??????????
niyeke musacha?
Kumbe unapenda kucheza ngoma yangu, haya niyeke mosagane?
Nyamboto.
Police wamekuja kwenye tukio wamekuta watu wengi wao wakaanza kupiga mabomu bila kujua wanampigia nani hali siyo shwari kabisa bodaboda wamefunga njia na wanarusha mawe masabo!! Poloci wao ni mabomu tuu kuanzia asubuhi!
Kumbe unapenda kucheza ngoma yangu, haya niyeke mosagane?