Ndama Jeuri JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 1,543 Reaction score 1,557 Aug 12, 2019 #21 ngajapo said: vyura Mlizoea kuchukua kombe kwenye ligi za ridhaa sasahivi mpira unaendeshwa kisasa. msipobadilika mtakuwa mnalisikia tu hilo kombe Click to expand... Ukweli ndo upo hivyo, hata kwenye suala la usajili,yanga wapo mbali Sana kuweza kuwafikia simba,may be ukata umechangia. Na wasipo angalia ubingwa wataukosa kila leo.ukiangalia kikosi cha simba msimu huu ni zaidi ya kile cha msimu uliyopita.
ngajapo said: vyura Mlizoea kuchukua kombe kwenye ligi za ridhaa sasahivi mpira unaendeshwa kisasa. msipobadilika mtakuwa mnalisikia tu hilo kombe Click to expand... Ukweli ndo upo hivyo, hata kwenye suala la usajili,yanga wapo mbali Sana kuweza kuwafikia simba,may be ukata umechangia. Na wasipo angalia ubingwa wataukosa kila leo.ukiangalia kikosi cha simba msimu huu ni zaidi ya kile cha msimu uliyopita.