😎😎😎Unauliza Mavuzi kwa chizi. Yanga anachukua ubingwa
Unauliza Mavuzi kwa chizi. Yanga anachukua ubingwa
Kama kuna mashindano ya kunywa soda,mkashindane ili muwe mabingwa ila sio TPLUnauliza Mavuzi kwa chizi. Yanga anachukua ubingwa
Kama kuna mashindano ya kunywa soda,mkashindane ili muwe mabingwa ila sio TPL
Le's see what will happenYanga wamefanya usajili mzuri, lakini usajili waliofanya sidhani Kama unaweza kumzuia simba asitetee taji. Na hata wakikutana simba na yanga mwenye uwezo Mkubwa wa kushinda hiyo match ni simba kwa sasa,akijitaidi anatoa sare.
Tutaona mwishon mwa ligiUnauliza Mavuzi kwa chizi. Yanga anachukua ubingwa
tutaona mwishon mwa ligi mambo yatakuajeKama kuna mashindano ya kunywa soda,mkashindane ili muwe mabingwa ila sio TPL
nzuri iyoooMsimu huu Mikia wanajua kabisa kombe linarudi kwa wenyewe,hizo takwimu zinajieleza vema kabisa
Mpira kajifunzia ukubwani betting zilipo ingia baada ya muhindi kumla sanaaa mdio akaujua mpiraWewe ni muhamiaji hapa nchini, naona ni mgeni sana kwenye soka la bongo
👍Sioni timu itakayobeba point 3 kwa Mnyama.
Bingwa ni SIMBA SC kwa mara ya 3 in row
Kagera Sugar nao naona wanacheza Mpira wa kulipwavyura Mlizoea kuchukua kombe kwenye ligi za ridhaa sasahivi mpira unaendeshwa kisasa. msipobadilika mtakuwa mnalisikia tu hilo kombe
Walichukua TPL lini?Kagera Sugar nao naona wanacheza Mpira wa kulipwa