Mabingwa wa Tanzania na Ukanda mzima wa East & Central Africa wakiwa Mjengoni

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
687


Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Waziri Mkuu kivuli, Mhe. F.A. Mbowe akiwa ameshikilia "JAGI" la Kagame




Spika wa Bunge, Mhe. A. Makinda akiwakubali vijana wa kazi wa Jangwani






Waziri Mkuu, Mhe. M.K.P. Pinda akiamurisha askari wa kutoa heshima ili waanze kuwapigia Mizinga ya Ushujaa Mabingwa Yanga




Mabingwa ktk Pozi Mjengoni Dodoma






Kweli kabisa, bado Ngao ya Hisani, Asamoah kama kawa, The only One Kaseja hachomoi vichwa
Sasa wewe Ngassa, kwani Fagason kasema anakutaka???
 
Wako fresh,mabingwa hao.Siyowale wa mara 7 badala ya 6 kama alivyosema Mh Lusinde
 
Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini.
 
Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini.

Mkuu
Hizi picha nilipiga kutoka gazetini, ndio maana hazijatoka fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…