Mabingwa wa Tanzania na Ukanda mzima wa East & Central Africa wakiwa Mjengoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabingwa wa Tanzania na Ukanda mzima wa East & Central Africa wakiwa Mjengoni

Discussion in 'Sports' started by CPU, Jul 23, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  1.jpg

  Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Waziri Mkuu kivuli, Mhe. F.A. Mbowe akiwa ameshikilia "JAGI" la Kagame


  2.jpg

  Spika wa Bunge, Mhe. A. Makinda akiwakubali vijana wa kazi wa Jangwani  3.jpg


  Waziri Mkuu, Mhe. M.K.P. Pinda akiamurisha askari wa kutoa heshima ili waanze kuwapigia Mizinga ya Ushujaa Mabingwa Yanga


  4.jpg

  Mabingwa ktk Pozi Mjengoni Dodoma  7.jpg


  Kweli kabisa, bado Ngao ya Hisani, Asamoah kama kawa, The only One Kaseja hachomoi vichwa
  Sasa wewe Ngassa, kwani Fagason kasema anakutaka???
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Wako fresh,mabingwa hao.Siyowale wa mara 7 badala ya 6 kama alivyosema Mh Lusinde
   
 3. M

  Masuke JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Bungeni nako umeme ulikatika kama siku ya fainali, mbona picha hazionekani vizuri au kamera ya simu ya kichina ndo ilitumika nini.
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu
  Hizi picha nilipiga kutoka gazetini, ndio maana hazijatoka fresh
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani tayari wanaitwa ni mara 7 badala ya 6?
   
Loading...