Kaka kwa mfano wewe hapo
.
Umeingia humu kuna uwezekano wa kujua mahala ulipo..... How ??
.
Kupitia IP address na Non Encrypted connection
.
Tukisema connection ni encrypted mana yake ipo ktk hali ambayo mtu wa kawaida hawezi kuifikia SECURED/PROTECTED nimeshindwa kutumia kiswahili samahani
.
What is IP address
.
Internet protocal
hii ni kama namba yako ya simu hiyo 0768.... Ninaposema hivi nnamaana ya kwamba kila mtu ana yake mtandao unaotumia wao ndio wanaokupa....
.
Na huwezi kuibadili
.
Sasa basi kupitia IP ADDRESS tunaweza kujua wapi ulipo kama hawa akina voda/ tigo etc wanavyoweza kuijua hiyo namba yako ya 0768/ 0713 ipo wapi?
Ikitokea umefanya uharifu
.
IP ADDRESS huwa katika mfumo fulani hivi mfano ya kwangu hii apa
82.145.221.64
Atakae n hack ntamtafuta
.
Cookies kaka siwezi kukuelezea vizuli kwa kiswahili