Mhashimiwa Mabere Nyaucho Marando!!
Unapinga mafisadi eh!
Toa kwanza boriti mkuu.
Ulipokuwa kiongozi wa NCCR-Mageuzi, enzi Mhe. George Liundi akiwa msajiri wa vyama aligundua kwamba chama chako kilikuwa kikipewa ruzuku pungufu kutokana na makosa ya kimahesabu.Akaamua kufidia upungufu huo kwa kukilipa chama taratibu kwa njia ya cheque za kila mwezi.
Wewe ulijua hili na hukufikisha taarifa katika chama, ukatumia nafasi yako na siri hiyo kutafuna mamilioni hayo ya chama kimya kimya.Wewe ni mwizi wa kawaida
Tubu basi na urejeshe fedha hizo, ili mikono na midomo yako ipate usafi wa kukuruhusu uwaseme mafisadi wenzako

Ada ya JF kufukua uozo, suala la kwamba yeye agombei halihalalishi wizi. Alichokwapua ni mali ya umma. NA kama NCCR nao walilimaliza 'kinyumbani' bado nao ni ufisadi ndani ya ufisadi