Mabasi ya Tegeta Nyuki - Bagamoyo yagoma. Wananchi watumia Usafiri wa Bajaji nauli tsh 10,000 badala ya 1800

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,757
143,209
Taarifa zimfikie mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima popote alipo kwa sababu inaelezwa Mabasi hayataki kuhamishiwa Bunju Sokoni ambako Nauli ya Dar - Bagamoyo itapungua kutoka tsh 1800 hadi tsh 1300

Leo wale Wananchi Pangu pakavu tia mchuzi chamoto wanakipata

Mabasi ya route ya Mbezi - Bagamoyo hayajagoma

Niko ndani ya Bajaj, kumbe Inawezekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Mafuta juu, unadhani nao watataka nauli ishuje? Hakuna mjinga huyo.

Serikali inatuponza hapo kwenye gharama ya mafuta juu.
 

View: https://youtu.be/JTs_mLe9KLw?si=9rQhI4OcO0JdZxR3
Tapeli Gwajima hii treni ilifikia wapi ?
 

View: https://youtu.be/JTs_mLe9KLw?si=9rQhI4OcO0JdZxR3
Tapeli Gwajima hii treni ilifikia wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…