Sio lazima uwe na dalili zoooote! He utakuwa binadam wa aina gani! Kutapika kuwe kwako, kiungulia, nyong'onyo, kutema mate, kula udongo, kula malimao, uchovu, presha kushuka, kuumwa kichwa, kizunguzungu, kupoteza hamu ya kula n.k huwez kuwa nazo zote hizo mama aangu