1961- 1967
Mtaala baada ya uhuru wa Tanzania. Hapa ulikua ni kutoa mifumo ya kikoloni na kuwekeza katika historia, utamaduni na Kiswahili kwa Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla.
1967 -1987
Elimu ya kujitegemea
Hii ilijenga zana ya kuwa na shughuli mbalimbali za kilimo na ushirika katika jamii. Ilifanikiwa sana.
1981- 1999
Mabadiliko makubwa ya kielimu. Tume ya Makweta. Musoma resolution. Hapo kulikuwa na Adult and direct entry students. Na mature age alentrancd examinations chuo kikuu cha Dar es Salaam.
2000-2015.
Maenddleo ya Idara ya Elimu kwa shule za msingi na sekondari.
Elimu bure kwa shule za msingi na sekondari. Upanuzi wa shule za sekondari. Elimu msingi.
2005 -2023
Mtaala wenye kuzingatia Umahiri
shule za awali kabisa, msingi na sekondari kuwa katika mtiririko huo.
Mtaala mpya 2023
Elimu ya msingi kuwa kidato cha nne . I hadi VI na kidato cha I hadi IV.
Hapa ni ujuzi, kufikiri kwa kina, ubunifu na mawasiliano chanya kwa karne ya 21. Elimu ya ujumla na Elimu ya amali