This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,189 Reaction score 5,433 Apr 2, 2015 #21 SIMBA NYANI said: View attachment 239778 :A S confused: Click to expand... KAMA HUJUI UNACHOTAKA KUFANYA NI BORA UKAE KIMYA UTAHESHIMIKA PIA! Chambua habari weka contents watu waelewe!!
SIMBA NYANI said: View attachment 239778 :A S confused: Click to expand... KAMA HUJUI UNACHOTAKA KUFANYA NI BORA UKAE KIMYA UTAHESHIMIKA PIA! Chambua habari weka contents watu waelewe!!
MVUMBUZI JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 5,182 Reaction score 2,330 Apr 2, 2015 #22 AAhaa kumbe yamekuwa kumwaga ugali na mwingine kumwaga mboga siyo. Ila kama walizijua hizo siri walificha za nini kama sio mambo ya kutunga na kuunga unga?
AAhaa kumbe yamekuwa kumwaga ugali na mwingine kumwaga mboga siyo. Ila kama walizijua hizo siri walificha za nini kama sio mambo ya kutunga na kuunga unga?
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Apr 2, 2015 #23 kapalaki said: Mashoga wengi ni akina Aunt Mudi(Mohammed),Aunt J(Juma) na wengine wengi km hutaki nenda Kwa Mama Chen pale Magomeni near Bondeni Hotel Click to expand... Hawa wa Tanzania sio wanaoowana. Wale wa Ulaya ni kina James , Paul. Ezekiel, Gorge,David na kina hao sio kina Mohamed na Juma.
kapalaki said: Mashoga wengi ni akina Aunt Mudi(Mohammed),Aunt J(Juma) na wengine wengi km hutaki nenda Kwa Mama Chen pale Magomeni near Bondeni Hotel Click to expand... Hawa wa Tanzania sio wanaoowana. Wale wa Ulaya ni kina James , Paul. Ezekiel, Gorge,David na kina hao sio kina Mohamed na Juma.
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,562 Apr 2, 2015 #24 Lazima utakua mhariri wa Raia... just from no where umeleta heading ya Gazeti