Taarifa haijitoshelezi hii. Watumia operating system gani? Je kabla ya hii hali kuna mabadiliko uliyafanya katika simu yako kama vile software update au installation. Hiyo shida ni kwenye apps zote au baadhi au web browser au wapi?
Ukija na majibu ya hayo maswali ndio watu tutajua tuanzie wapi kukushauri au kukusaidia, otherwise peleka kwa fundi Issa ukiwa na 30K mkononi