cdm imekula kwenuZikiwa zimebaki takribani
saa kazaa tu kuwasili kwa kiongozi wa taifa la Marekani bwana Barack
Obama, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amesema kuandamana na kubeba
mabango ni ushamba,
ameyasema hayo katika kipindi maalum kilichokua kikirushwa na TBC,
akaenda mbali zaidi kwa kusema maandamano yeyote yale kimsingi hua
hayana maana yeyote ile, kwa sababu hata kama ukiandamana haitakusaidia
zaidi ya kupoteza muda wako tu,
Nimejiuliza maswali mengi sn juu ya maelezo ya mkuu wa mkoa na
tafsili zake juu ya hoja nzima ya maandamano, zipo sababu nyingi ambazo
zinapelekea watu kuandama, hata huko anakotokea Obama kuna baadhi ya
watu tumeona waliandamana kupinga ujio wa Obama nchini mwao, sasa kwa
mujibu wa kauli za mkuu wa mkoa kwa niaba ya serikali anataka
atulazimishe watanzania wote tukubaliane na matakwa ya serikali hata
kama ni mabaya.NAWASILISHA.
Zikiwa zimebaki takribani saa kazaa tu kuwasili kwa kiongozi wa taifa la Marekani bwana Barack Obama, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amesema kuandamana na kubeba mabango ni ushamba,
ameyasema hayo katika kipindi maalum kilichokua kikirushwa na TBC,
akaenda mbali zaidi kwa kusema maandamano yeyote yale kimsingi hua hayana maana yeyote ile, kwa sababu hata kama ukiandamana haitakusaidia zaidi ya kupoteza muda wako tu,
Nimejiuliza maswali mengi sn juu ya maelezo ya mkuu wa mkoa na tafsili zake juu ya hoja nzima ya maandamano, zipo sababu nyingi ambazo zinapelekea watu kuandama, hata huko anakotokea Obama kuna baadhi ya watu tumeona waliandamana kupinga ujio wa Obama nchini mwao, sasa kwa mujibu wa kauli za mkuu wa mkoa kwa niaba ya serikali anataka atulazimishe watanzania wote tukubaliane na matakwa ya serikali hata kama ni mabaya.NAWASILISHA.
Mwambie akawaambie Wamisri hayo maneno kama atarudi salama.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Siyo kwamba mshamba ni yeye RC? OBAMA mwenyewe anajua ambavyo hata nchini mwake huwa wanaandamana sembuse Tanzania? Au na RC ni MLIBERALI nini?
We haupo duniani maandamano si ushamba wablazil washamba,misri nao,turkey. Labda ww
Maandamano ya Chadema ni ushamba.
watz sio wajinga labda ww peke yako. haki zao za msingi wanapata labda za sekondariViongozi wa Tanzania huwa wana-take advantage ya ujinga wa Watanzania kuhusu haki zao za msingi.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Maandamano ya Chadema ni ushamba.