Maandamano makubwa Mali

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Nchini Mali kuna maandamano makubwa karibu nchi nzima yanayoendelea kupinga unyonyaji wa Ufaransa wa miongo zaidi ya 60 (koloni lilitawala Mali) nchini humo.

Lakini Katika hali isiyo ya kawaida, vyombo vikubwa vya habari duniani na Africa haviripoti swala hili kwa uzito wake.

Even hata loco news channels za Africa kama TBC, KTN, na kadhalika havijaripoti hata kiduchu swala hili.

Jambo moja ninaloliamini, muda si mrefu nchi ya Mali itakuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengine barani Africa ambayo yanaendelea kunyoywa katika kila nyanja na makoloni yao, ihali nchi hizo zikiamini kuwa ni mataifa huru, (na haswa francophone countries.)

NOW It is time for Africa countries to WAKE UP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…